Vikipedio:Kuhusu tovuti hii

Sehemu hii ya Wikipedia (Vikipedio) ni kwa Kiesperanto. Maarifa kuhusu Kiesperanto yanapatika kwa Kiswahili:

Unaweza kujifunza Kiesperanto hapa:

Wikipedia kwa Kiswahili inapatikana hapa sw.wikipedia.org - Wikipedia kwa Kiswahili.

Wikipedia kwa lugha nyingine yinapatikana hapa: Internacia Vikipedio.

Pengine uliona kwamba majina ya ukoo ya watu wanaotajwa katika ukurasa huo yameandikwa kwa herufi kubwa. Si kosa. Waesperanto kadhaa wamezoea kuandika majina hayo kwa herufi kubwa, kwa sababu watu wa tamaduni tofauti wafuata mitindo tofauti, wengine huandika jina la ukoo mwishoni, kwa mfano Mfaransa huandika: Jean-Jacques ROUSSEAU, wengine huandika jina la ukoo mwanzoni: Mchina huandika HU Jintao. Kwa kutumia herufi kubwa tunatambua jina la ukoo ni lipi.

Pri ĉi tiu paĝo - Kuhusu tovuti hii

Ukurasa huu unapatikana pia kwa lugha hizi:

redaktu